Advertisements

Thursday, May 9, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO KATIKA OFFICE ZA TANZANIA MISSION NEW YORK

 Janice Lathen Found Executive Director of Powering Potential Educating Through Technology, alivyokutana na Maofisa wa Tanzania Mission New York kuwapa maelezo juu ta Mpango wa matumizi ya umeme wa bei nafuu solar power vijijni. Jenice ameanzisha Huduma hiyo Tanzania katika ukanda wa kaskazini kupitia shule za sehemu hizo. Na wanafunzi wanaweza kutumia Computer bila kutegemea Umeme wa taifa. Na wanaweza kutumia solar power wakiwa darasani.
Hii ni ramani ya Tanzania kuonyesha sehemu ambazo zimeanza kufaidika na huduma hiyo inayosimamiwa na Janice Luthen. 
Mh. Balozi Ramadhani Mwinyi akiongea jambo na Janice wakiwa Twiga room ubalozini jijini New York.
Mr Modest Mero's Minister Plenipotentiary & Head of Chancery, alikuwa anaendesha mkutano huo hapo Twiga room New York, kwa picha zaidi bofya read more
Hii ni sehem ya vitu vinavyo tumika kutoa umeme wa solar vikiwa vimeunganishwa na computer wakati wa mkutano
Ukodak wa pamoja baada ya mkutano

No comments: