Advertisements

Thursday, May 9, 2013

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imemwachia Sheikh Ponda Issa Ponda

Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imemuhukumu kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa jumuiya na taasisi za kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, baada ya kukutwa na hatia ya kuingia kwa nguvu kwenye kiwanja cha markaz, kilichopo eneo la chang'ombe,jijini Dar es salaam.

1 comment:

Anonymous said...

Allah akbar alhamdulillahi rabbi laalamin

si nilisema daima hakin hushinda uongo siku zote hupotea.

Allah akbar alhamdullahi rabbi laalamin karibu uraiani shekh wetu mpendwa