Advertisements

Thursday, May 9, 2013

SUMMER NEW YORK CITY KAMA HIVI WATU HUJIACHIA NA KURELAX KAMA WAKO NYUMBANI HAPA NI MAENEO YA 34 ST KWENYE DUKA KUBWA SANA KULIKO YOTE DUNIANI

Ni Macys the world's largest store pako busy kwa shopping kama unavyoona kwa nje.
 Warembo  awakiwa New York City kwa shopping

Hapa ni kwa nje ya duka hilo kuna sehemu za kukaa yani kupumzika na kufurahia summer yako ukiwa NYC.
Watu wako comfortable kabisa wameweka mifuko yao ya shopping chini na wamejipumzisha kwenye viti vilivyowekwa maalumu kwa kupumzukia.

No comments: