ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 9, 2013

WANAHABARI NCHINI WAASWA KUANDIKA HABARI ZISIZOKIUKA HAKI ZA BINADAMU

Augustine Mgendi pamoja na dada Vick Ntetema
Vick Ntetema akitoa somo
kwa picha zaidi bofya read more
Malima Lubasha
Picha ya Pamoja
Stephen Wang'anyi akiwa na Vick Ntetema
Augustine Mgendi akiwa pamoja na Vick Ntetema

Anthony Mayunga Katika harakati
Mtoto ambaye naye hakuwa nyuma katika kupata elimu ya utetezi wa haki za binadamu
Wadau wakiwa katika Warsha
 
 Mratibu wa THRD -Coalition Onesmo Olengurumwa
 
 Wadau wa utetezi wa haki za Binadamu
Anthony Mayunga akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Under the same Sun Vick Ntetema

Waandishi wa habari nchini waaswa kuandika habari za utetezi wa haki za Binadamu,Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Under The Same Sun Vick Ntetema wakati akifungua Mafunzo ya Usalama na Tathimini ya Athari kwa Wanachama wapya wa Shirika laa Tanzania Human Rights Defender Coalition (THRD-Coalition).

Amesema kumekuwepo na Matukio mengi ya Unyanyasaji na Ukiukwaji wa haki za Binadamu hivyo basi Waandishi wa habari wanapaswa kutumia kalamu zao katika kuibua Ukiukwaji Mkubwa wa haki za Binadamu unaofanywa hapa nchini.

Kwa Upande wake Onesmo Olengurumwa alisema kuwa Mafunzo hayo kwa waandishi wa habari yatasaidia Mwanahabari kufanya kazi katika Mazingira salama kutokana na Vitendo vilivyoshamiri hivi sasa vya kuwateka Wanahabari.

Alisema Mwanahabri anapaswa kufanya kazi yake katika Mazingira ambayo yatamfanyaa awe salama Siku zote hivyo basi Mafunzo hayo yatatoa Mwanga kwa wanahabri katika utetezi lakini pia wanahabri kufanyakazi wakiwa katika Mazingira Salama.

No comments: