JK asema serikali imejiimarisha kudhibiti watu wanaohatarisha amani ya nchi.
RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JAKAYA MRISHO KIKWETE AMESEMA SERIKALI IMEJIIMARISHA KATIKA KUHAKIKISHA INADHIBITI WATU AU VIKUNDI VYA WATU VINAVYOTUMIA MIANVULI YA DINI KUHATARISHA AMANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment