ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 28, 2013

KIJIWE CHA UGHAIBUNI

8 comments:

Anonymous said...

Mnachokosea mnalinganisha USA na Africa mnakosea sana hapo

Anonymous said...

Brother Luka ebu mrudishe Benja tunammiss sana! Show ya leo inaboa bila yeye kuwepo hadi nazinzia-lol!

Anonymous said...

jabiri na yasini inabidi muelewe tofauti ya tanzania na amerika...mkwavi ameongea point kuhusu mfumo ya mahakama na kazi yake.

Anonymous said...

where is is my Benja today?

Anonymous said...

naomba siku moja muongelee topic ya watu kupenda kupeana mizigo pindi mtu akisafiri kwenda bongo. kuna umuhimu wa kueleweshana kuhusu services za DHL, UPS nk. biashara ya kubebeshana mizigo imepitwa na wakati

Anonymous said...

MMEKIONA CHA MOTO YUKO WAPI YULE KAKA DOMO KAYA MJUAJI WA KUREPU WANAWAKE WALIKUJA HAPO WAKAKUKOMESHENI SASA MNAJIDAI KUBADILISHA MAADA ETI SHERIA ZA MAHAKAMA BONGO MMEKIONA CHA MOTO KIJIWE CHA UBGAIBUNI KIME CHANGE LEO SIYO OYAA WEEE

Anonymous said...

mr benja kaingia mitaani toka wale mademu walivyo mtolea uvivu kumjibu domo kaya kakimbia ha ha ha

Anonymous said...

Mkwavi ameongea vema kuhusu mahakama sababu kazi yake ya awali hapa bongo kabla hajaondoka alikuwa askari Polisi Hivyo anajua vema suala la mahakama kwani lilimgusa kama mdau.