Mbunge wa Viti Maalum- CHADEMA Chiku Abwao akitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum –CCM lediana Mng’ong’o wakati wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Utaribu na Bunge William Lukuvi (kushoto) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa, akizungumza jambo na Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila – NCCR Mageuzi, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Picha na Magreth Kinabo-MAELEZO, Na Sufianimafoto.
No comments:
Post a Comment