Thursday, May 23, 2013

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo akilionyesha bunge moja ya michoro ya miradi mbalimbali ya umeme wakati akiwasilisha hotuba ya bajeti Bungeni jana

Mbunge wa Ubungo Mhe. John Mnyika akisoma hotuba ya Kambi ya Upinzani Bungeni ya Nishati na Madini jana
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Mathias Chikawe akiangalia moja ya michoro ya mradi wa umeme wakati bajeti ya Nishati na Madini ikiwasilishwa Bungeni jana
Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Muhagama akizungumza na Mhe. Ally Kessy (Mb. Mpanda Kaskazini) katika kikao cha bunge leo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Simba Chawene akizungumza jambo na mbunge wa Mtwara mjini mhe. Hasnain

No comments: