LADIES AND GENTLEMAN ONCE AGAIN NDANI YA FLOOR YA TANZANIA PLACE WIKI HII JUMAMOSI NJOO TUCHEZA NA DJ BILAL MUSIC
Dj Bilal kiwa kazini akiwajibika vilivyo ndani ya ukumbi huu karibu tena jumamosi hii, vinywaji vinapatika chakula kama kawaida. Bongo Flava Mayenu, na rusha roho hapa ndiyo maala pake.
Tujirushee kama hivi warembo wakiji beba kwenye floor na wewe njoo utaipenda tu sehemu hii kwani kunanafasi yakutosha na safi.
No comments:
Post a Comment