
Lakini sasa kuna jingine ambalo limejitokeza, na amelisema mwenyewe Lady JayDee, hii haijathibishwa, huenda ni maneno tu ya kizushi or….!
Kupitia akaunti yake ya Twitter Jide ameandika:
“Nimepata taarifa zisizo rasmi kuwa nimefunguliwa kesi mahakamani natumaini sitaitwa kizimbani tar 31 May ambayo ndio siku ya show.
”Lady JayDee @JideJaydee
Nimepata
taarifa zisizo rasmi kuwa nimefunguliwa kesi mahakamani natumaini
sitaitwa kizimbani tar 31 May ambayo ndio siku ya show
No comments:
Post a Comment