Lwakatare afutiwa mashtaka ya ugaidi-Mdimuz
Habari tulizozipokea hivi punde ni kwamba, mahakama Kuu imemfutia Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA),Wilfred Lwakatare(Pichani juu), mashtaka yote ya ugaidi, na imerudisha shtaka moja la utekaji(kidnapping) Mahakama ya Kisutu na pamoja nasuala la dhamana.
2 comments:
Daah baba wa watu kasota rumande kwa muda wote huo; yaani alifunguliwa shtaka la ugaidi ili asipate dhamana au ni wanasheria wetu hawajui kitu? Kweli dunia hii!!
kweli dunia hii na ukienda kinyume na serikali ya kibongo ndo haya yanakukuta ndo maana utaona wanaharakati wengi wafafifia na kuona hakuna haki ukiwa mtetezi wa kweli wa wanyonge hudumu kwa sababu kuna watu wanapata riziki zao kwa kuwazalilisha wanyonge so wewe ukija unaonekana unataka kuwazibia
sasa si ndo wakaamua kuripua lakini daima mungu hamzulumu mtu haki yake si wamemuachia
wanasiasa wa chama tawala wote wanafik
Post a Comment