Wadau mzigo wenu huu !,mie sipo hapo
Leo hii tumepata bahati ya kusikiliza malalamiko ya watani zetu wa jadi,
yaani ninamaana watani zetu ! jirani zetu Kenya,si unajua nao
wanatulalamikia kuwa tunapendelewa sana ...lakini sikiliza
mwenyewe mamaliko yao ! kwa nini? Tanzania wanamega tonge kubwa
3 comments:
Nimecheka alipouliza "...Tanzania ni wapi?" Matajiri hawafanyi ziara kwenye nchi inayozalisha njegere. Wao wanashughuluka na gesi na mafuta. Raisi wa China alienda Tanzania, Obama anfuatana na raisi wa exxon mobil kwenda Tanzania, utasikia na matajiri wengine wanafuata vilevile mpaka kieleke Mtwara.
Huyu angekuwepo kwenye kijiwe cha ughaibuni pangekuwa hapatoshi kati yake na Benja
vichekesho ni hivi, nimecheka sana!
Post a Comment