Advertisements

Monday, May 6, 2013

Maonyesho ya Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuanza Tarehe 13.05.2013 hadi 18.05.2013 Mkoani Dodoma.

Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Sarah Kibonde Msika akitoa neno la ukaribisho kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam ili kutoa taarifa ya wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma.
Afisa Mahusiano wa PSPF Fatma Eliharid kifuatilia mkutano kuhusiana na wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma. 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma na kusititiza wananchi wajitokeze kwa wingi.
Mkutano ukiwa Unaendelea

No comments: