Monday, May 20, 2013

Mchungaji Peter Msigwa na watuhumiwa wengine 75 wamefikishwa mahakamani.

Mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa na watuhumiwa wengine 75 wamefikishwa mahakama ya wilaya Iringa na kusomewa mashtaka matatu kuhusu vurugu zilizotokea jumapili mjini Iringa.

No comments: