Monday, May 20, 2013

Tangazo la Msiba New York na Tanzania

Ndugu yetu Justin Kimodoi anasikitika kutangaza kifo cha baba yake James Kimodoi, kilichotokea huko Bukoba, Tanzania, usiku wa kuamkia Jumapili.
Wanaopenda kumpa salamu za pole
Namba yake ya simu ni ; 646-318-9219
Address; 654 East 242 Street, apt 1
Bronx NY 10470


Asante....
Doris Rweyemamu

No comments: