“Wasiponifuatilia ntanyamaza watakuwa marafiki zangu tutapatana”Haya ni maneno ya mwanamuziki maarufu wa Tanzania Lady Jay Dee alipozungumza nasi mwishoni mwa juma, juu ya sakata lake na wamiliki wa Clouds FM radio nchini humo.
Kama wengi ambavyo tayari mmeshasikia kwenye vyombo vya habari mwanamuziki huyu maarufu alitoa wosia ambao kwa kweli ulikuwa mzito.
Kutokana na hilo tulitafuta wasaa wa kuzungumz na naye mwishoni mwa juma na kutaka hasa kujua ni kwa nini alifikia uamuzi wa kutoa maneno hayo aliyotoa na kiini cha sakata lake na uongozi wa Clouds FM , alikubali wito wetu na alikuwa na haya ya kusema . Bofya hapa chini usikie yaliyojiri.
Tulitafuta nafasi ya kuongea na Bw.Joseph Kusaga na tulifanikiwa kumpata atupe upande wake na akasema kwamba atatoa maelezo kamili juu ya sakata hilo kwenye kipindi maalum clouds fm siku ya Jumatatu badala yake Ruge aliongea kwenye kipindi hicho na haya ndio aliyosema
2 comments:
Lady JD ndio IRON LADY. nyinyi wengine ni wivu tu unawasunbua, na atasikika tu kwa kupitia hata CNN na BBC, au vyombo vingine visivo na hiyana.
Anapendwa kwa sababu ni kiungo katika muziki boro wa TZ.
Ruge umekuwa ukitoa maelezo yenye utata sana, Hatukuamini kabisa na melezo yako.
Kama una tatizo na JD, lipeleke kwenye jamii walijadili sio wewe.
JOTO HASIRA ni ujumbe kwako.
A fight between a girl and two grown men is always a disaster. Clouds radio station should know better that it is senseless to burn more than an hour of your air time attacking a girl emotionally. To make things even worse, why flexing muscle and disallow "bongo flavor" playlists immediately after a boastful interview? If one of bongo flavor artists went wrong, why punishing the rest of the crew? Yes, that is your radio station, Ruge. So do you want to be adored by those artists before airing their playlists? What do you gain from such a self-centered behavior?
Post a Comment