ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 5, 2013

NYAMA CHOMA YA KUIKARIBISHA "SUMMER TIME" NCHINI DENMARK

Ilikuwa ni kujiramba kwa kwenda mbele bila kusahau pilipili na ukwaju.
Hiyo ilikuwa jumamosi May 4, katika viwanja vya Fælledparken, jijini Copenhagen - Denmark
Bwana Said mtalaam wa kuchoma nyama akifanya vitu yake
Warembo katika ukodak
Mama Ronnie katika ukodak na shemeji yake
 Rogers na Dully wakisaidia kugeuza nyama
Baba Ronnie a.k.a Meya wa jiji akitoa nasaha zake
Wageni toka Tanzania wakisubiria nyama.
Bwana Ally Mbamba na familia yake
Ni nabasamu kwa kila aliyefika kuotea jua.

Kwa picha zaidi bofya read more

3 comments:

Anonymous said...

All the best, naona maisha huko ni mazuri hapa. Hapa Canberra weusi hatuonani na wala hatujuani - Check hiyo. Kuwaarifu hata msiba wanakuambia "we are busy". Hakuna utu hata kidogo.

Cheers

Anonymous said...

Canberra, Australia au siyo? we enjoy tu, mkishaanza kukutana ndio majungu nayo yanaingia. The community gathering comes with it's baggage. Tuulize sisi tulioko DC Area, majungu mtindo mmoja, na hii internet imewafanya watu wote wamekuwa "wajanja" -Nuksi tupu mjomba!

Anonymous said...

NAJARIBU KUMWELEWSHA ANÓNYMOUS WA PILI INATEGEMEA UKO WAPI MAJUNGU YAKO USA NA ENGLAND KWASABUBU YA UWINGI WAAFRIKA. HAPA DENMARK HAKUNA MAJUNGU KAMA YAPO BASI WAWAILI WA3 AMABAO WANAMISS TABIA WALIO KUA NAYO HUKO WATOKAKO. HALAFU SISI SIO WENGI TUKO WACHACHE,UKWELI TUKO BUSY SANA KUONANA KWETU LABDA AJE MWANA MUZIKI, NA SOMTIMES TUNA WEZA KUA NA PARTY 4 KWA MWAKA PARY ZA IDI, INDEPENDENCE,MUUNGANO, NA SOMMER NDO TUNAKUA NA PROGRAM YA NYAMA CHOMA, HUKU SISI HATUJUI KITCHENPART,BABYSHOWER,WALA HARUSI HALAFU TUMEMEZWA SANA NA CULTURE YA KIDENISH NA HALAFU HATUNA COMPETETION ZA KUVAA KUVAA NI KAMA HOBBY SIO RUSHA ROHO SIO KAMA ZA ENGLAND NA USA(WANAWAKE)TUKO VERY SIMPLE.SISI HUKU KWA UJUMLA TUNA SAIDIANA,KWANZA HATA MIPASHO HATUNA MUDA WA KURUSHANA ROHO WALA KUCHUKULIANA.