ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 3, 2013

OLD SKUL YA KUFA MTU LEO JULY 3, 2013 SESKA LOUNGE, ROCKVILLE, MARYLAND

4 comments:

Anonymous said...

marekebisho kidogo mnapotoa matangazo kama haya muwe mnaeleza kwa ufasaha location hii party iko nchi gani? jimbo gani? mji gani? unaweza mtu ukawa karibu na hapo ukahudhuria lakini mkiweka kwa mafumbo hata haijulikani kama hili tangazo sasa hii seske ndio wapi marekani au UK au Sweden? halieleweki kabisaa ni ushauri tu muwe mnajitangaza kwa ufasaha

Anonymous said...

Wewe mdau kuna full address hapo au kusoma kunakupiga chenga? Ukiwa nchi za ughaibuni unaelewa kabisa hii address iko wapi..na hata kama huelewi ni nchi gani then its obvious sio unakoishi..wacheni madongo yasiyoleta msingi. Kwenye hoja za maendeleo hamucomment ila kwenye makandio gafla mnakua wahandisi. Shwain

Anonymous said...


Mdau wa 5:56PM asante sana, maana huyo yamkini anafikiri ROCKVILLE ni mji wa mawe Mwanza. Kama ni anga zako utajuwa tuuuu!!! Isitoshe kuna Maryland hapo.

Si kosa lako ila kabla ya kutoa hoja soma kila neon kasha fikiri!!!! Nami some times inanipataga hiyo!!!
Usijali!!

Anonymous said...

Mdau mlalamikaji, hilo tangazo halikuhusu. Wale linaowahusu wameshaelewa toka zamani. Uki-google hiyo address utaiona ipo sehemu gani duniani. Ninachokushauri ni kuwa fuatilia mabo yanayokuhusu ili kutumia vizuri muda wako kujiletea maendeleo.