Bongo kweli tambararee....Usafiri wa bila jasho, nani alaumiwe? serikali au upeo mdogo wa wananchi?
1 comment:
Anonymous
said...
Huyu si msafiri ni wale wachuuzi wa njiani haendi mbali yupo hapo hapo. huwezi kusafiri namna hii bongo siku hizi. Muwe mnatembelea nyumbani jamani ili msibaki na mawazo ya tanzania ya zamani halafu mkizeeka mkirudi nyumbani mnaanza ku regret

Post a Comment