Friday, May 24, 2013

PICHA ZA MBWA WALIOPATA MAFUNZO YA KUKABILI UHALIFU

DSC_6206Mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya Mbwa akionyesha umahiri wake wa kutumia mnyama huyo mara baada ya kupatiwa mafunzo ya kutumia mbwa Kwa ajili ya kuzuia uhalifu na kikiosi cha mbwa na farasi cha Jeshi la Polisi mafunzo hayo yalifanyika jijini Dar es salaam.  DSC_6215Mbwa wa kiraia aliyepatiwa mafunzo  na Jeshi la Polisi ya namna ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu  wanaobeba madawa ya kulevya hususani bangi. DSC_6256 DSC_6267 
Mmoja wa wahitimu wa kike aliyepata mafunzo ya Polisi jamii na ulinzi shirikishi alipata mafunzo ya ukakamavu kwa ajili ya kukabiliana na uhalifu na wahalifu, mafunzo hayo yalifanyika jijini Dar es salaam katika viwanja vya kikosi cha mbwa na farasi cha jeshi la Polisi.( Picha na Hassan Mndeme- Jeshi la Polisi)

No comments: