Sunday, May 26, 2013

REDD'S MISS TABORA 2013 KAMBI NDANI YA TABORA REST HOUSE-SUPER SONIC

Warembo wakipozi na mdhamini wa shindano la REDD'S MISS TABORA 2013 Bw.Humud Nassor mmiliki wa TABORA REST HOUSE na kampuni ya SUPER SONIC. Nyumba hizi waweza pumzika na familia, rafiki, pia kwa wale wafanyao kazi za maofisi. Panakidhi haja zote za nyumbani. NYUMBA ZINAPATIKANA UZUNGUNI
Warembo wakiwasili eneo hilo la nyumba za kupumzikia (TABORA REST HOUSE)
Warembo wakizunguka kuangalia mahadhi mbalimbali ya makazi hayo waliyokaribishwa kwaajili ya kuweka kambi
wakipozi ndani ya nyumba hizo za kupumzikia
kwa picha zaidi bofya read more
wakikatiza toka upande mmoja wa nyumba hadi mwingine
kuna mazingira mazuri ya kuvutia ambapo ukiwepo huwezi boreka
warembo wakibembea
moja ya kivutio maji yakitiririka kwa namna ya pekee
Mmiliki wa Tabora Rest House Bw. Humud Nassor
---------------------------------------------------------------------------------
SHINDANO LIKIWA LIMEBAKIZA SIKU CHACHE KUFANYIKA HAPO TAREHE 31 MAY, 2013 KATIKA UKUMBI WA FRANKMAN PALACE.
HUKU MSANII MKALI OMMY DIMPOZI KWA POZI KUSHUSHA MVUA YA BURUDANI NA KIPAZA SAUTI KUBURUZWA VILIVYO NA MKALI WA VICHEKESHO BAMBO a.k.a KISHTOBE.
JIPATIE TIKETI YAKO MAPEMA KATIKA MAENEO YAFUATAYO
BAGENZI NETWORK TRADERS 0754-416724, ALOY SON 0715-103054, GAMALO PUB, CLUB ROYAL ENTERTAINMENTS 0754-666620/ 0713666624.PICHA: ALOYSON

No comments: