ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, May 21, 2013

Spika wa bunge amekataa kutengua baadhi ya kanuni za bunge.

Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ameikataa hoja ya kutaka kutengua kwa baadhi ya kanuni za bunge ili kuruhusu wabunge kuchangia katika mjadala kuihoji serikali kwa mambo yanayoihusu katika kutekeleza ripoti ya haki za binadamu na utawala bora kwa nia ya kuepuka vitendo vya utekaji na utesaji wa waandishi wa habari vinavyojitokeza hapa nchini

No comments: