ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 11, 2013

SUSAN G. KOMEN RACE FOR CURE YAFANA, WASHINGTON, DC

Waratibu wa Susan G. Komen wakiongea jambo na kuwashukuru wote kwa kufika kwa matembezi ya Susan G. Komen. yaliyofanyika Jumamosi May 11, washington, DC.
Mdogo wa Susan G. Komen akiongea jambo 
Josh akiongea jambo n[ kwa niaba na mama mlezi wake (kushoto) ambae ni mnusurika wa Saratani.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Idd Sandaly akibadilishana kadi ya biashara na mmoja ya washiriki wa matembezi ya Susani G. Komen.
Baadhi ya washiriki wa timu Tanzania.
Wanusurika wa saratani katika picha ya pamoja.
Timu Tanzania katika picha ya pamoja
 
Wakina baba kutoka timu Tanzania ambao walikua wawili tu kama unavyowaona katika picha kushoto ni Pius Mtalemwa akiwa na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Bwn. Idd Sandaly.
Timu Tanzania katika picha ya pamoja.
Bendera zkiwakilisha nchi washiriki kwenye matembezi ya Susan G. Komen.
Kwa picha zaidi bofya read more


Timu Tanzania

Timu Tanzania ikila jalamba kabla ya kuanza lugendo.

Mbio za Susan G. Komen katikati ya jiji la Washington, DC

Timu Tanzania ikiwa imemaliza matembezi ya maili 3 ambayo ni sawa na kilomita 5

Timu Tanzania katika picha ya pamoja baada ya kumaliza maili 3











No comments: