
Mayweather akiwa na mkanda wako alioshinda maana ya kumshinda mpinzani wake kwa point hapa akibebwa juu juu kama mkungu wa ndizi


Mayweather Jr akiwa na baba yake hapo juu ambae pia na yeye alishawahi kuwa mtu wa kuogopwa ulingoni enzi zake na sasa mikoba kamkabizi mwanae. Mayweather akiwa amevaa kofia yenye maneno TMT ikiwa na maana The Money Team.

Guerrero akipata konde la kichwa kutoka kwa Mayweather kati ya ngumi zilizo mpa ushindi Mayweather wa point 117 kwa 111

Mayweather akimgusa mpinzani wake na konde la kushoto

Guerrero alijaribu kila njia kumsukumia makonde mazito Mayweather lakini bila mafanikiao kwa

Mayweather akipisha mkono wa Guerrero



No comments:
Post a Comment