Wednesday, May 15, 2013

Ubalozi wa Kenya na Burundi Wakutana na Viongozi wa Jumuiya za Eastern African Countries.

 Viongozi wa Jumuiya za nchi za Africa Mashariki waliokuwa wanashiriki kwenye Global Diaspora Forum iliyofanyika Washington DC May 13-14 na Viongozi wa Eastern African Countries  Diaspora Concil  walialikwa na Ubalozi wa Kenya nchini Marekani kwenye ubalozi wa kenya kujadili mambo mbali mbali haswa ya kiuchumi yanayohusu nchi za Africa Mashariki. Mkutano huo pia uliudhuriwa na Afisa wa maswala ya Kiuchumi wa Burundi.
Rais wa Jumuya ya Watanzania DMV ameieleza vijimambo kuwa mambo muhimu sana yalizungumzwa na atatoa taarifa kamili ambayo itatolewa kwenye vijimambo na kwenye website ya jumuiya.

No comments: