ANGALIA LIVE NEWS
Sunday, May 19, 2013
VUGURU ZATOKEA MJINI IRINGA, POLISI WATUMIA MABOMU KUREJESHA AMANI
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa baada ya Machinga kufunga barabara kuu ya Iringa - Dodoma na ile ya Mashine Tatu mjini Iringa.
Hali ikiwa tete eneo hilo.
Polisi wakiwa tayari kukabiliana na Machinga.
Abiria na wapiga debe wa stendi kuu Iringa wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari.
(PICHA ZOTE NA FRANCIS GODWIN, IRINGA)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment