Advertisements

Saturday, May 11, 2013

WORLD TRADE CENTER NDILO JENGO REFU KUPITA YOTE MAREKANI

Kikwangua anga kipya World Trade Center, New York kilichomalizika kujengwa upya baada ya vikwangua anga pacha kubomolewa na magaidi 2001, ndilo jengo refu Marekani kwa sasa lenye urefu wa futi 1,776
Juu na chini ni Kipande cha mwisho kilichokua kikiwekwa juu ya paa la jengo hilo jipya la WTC, New York
Wajenzi wa jengo hilo jipya la WTC wakiangalia umaliziaji wa kuwekwa kipande cha mwisho kwenye jengo hilo jipya ambalo ndilo refu kuliko majengo yote Marekani.
Picha ya ujenzi wa jengo hilo ulipokua kwenye hatua za mwanzo mwanzo.
Jiji lisilolala katika picha

No comments: