ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 18, 2013

CHEUSIDAWA TV NA FIDQ KUJA NA POETRY ADDICTION …

CheusiDawa TV ni online television inayomilikiwa na kuendeshwa na rapper mkongwe, FIDQ … Kama unakumbuka FidStyle Friday na vitu vingine kama hivyo … Sasa leo imetangaza kurudi tena kwa style hii … “POETRY ADDICTION” …

Stay Tuned!!

#GongaMx

No comments: