ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 18, 2013

VIPINDI VYA MKASI VYAENDELEA KUREKODIWA …

Wiki chache zilizopita kupitia official account ya twitter, Mkasi walitangaza kuanza tena ku-shoot vipindi vyake katika season nyingine … Ikiendelea kuwahoji watu mbali mbali kutoka salon …

Check baadhi ya picha katika vipindi vilivyorekodiwa hivi karibuni ;
Jokate Mwengelo (Kidoti/Jojo)
Babu Tale.
Kali Ongala.
Abdullah Mwinyi (Mbunge).

#GongaMx

1 comment:

Anonymous said...

naomba kuliza huyu salaama ni jike dume au ndo nani? yani kila nikiangalia naona ana act kidume kidume kuliko kike kike ndo style za siku hizi za huko bongo nini kama majuu