ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 22, 2013

EXCLUSIVE VIDEO YA MKUTANO WA CDM ULIOSHAMBULIWA SOWETO ARUSHA

4 comments:

Anonymous said...

Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni, hawa jamaa wanajua kupiga debe aiseee. Yaani muheshimiwa Godbless Lema yuko vyema katika mazungumzo. Halafu nimependa hawa makamanda wanamjua Mungu na wana mtanguliza Mungu katika kila jambo. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Anonymous said...

Duu! Kweeli Kimenuka!! Muheshimiwa Mbowe moto chini! Wazee wanajiamini sana hawa aisee! Mie ninachotaka ni HAKI, AMANI NA UMOJA NCHINI TANZANIA NA NINAWAPA BARAKA WOOOTE VYAMA VYA SIASA CCM, CHADEMA, CUF NA NCCR MAGEUZI KATIKA UCHAGUZI WOA. Let the freedom ring in the hearts of Tanzanian people. God is Great.

Anonymous said...

Mungu nakuomba uiteteee TANZANIA na WATU wake.

Anonymous said...

CHADEMA juu juu juu zaidi, kwa kweli mnavyojua kuzungumza na pia mna vithibitisho vya pesa zinavyoliwa hapo Arusha kama Mbowe alivyonukuu! Kwa kweli tunahitaji mabadaliko makubwa sana Tz. CHADEMA 2015. Ni kweli hata wanachama wa CCM siku za kupiga kura nasikia huwa wanapigia CHADEMA very interesting kusikia hivyo, watanzania wamechoka na kuchoshwa na utawala uliopo, mabadailiko muhimu sana kwa maendeleo ya nchi. Mungu azĂ­di kuilinda Tz na watu wake.