ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 21, 2013

HII NDIO BONGO DAR-ES-SALAAMA YA JIJI LA NEEMA

Baadhi ya watumiaji wa barabara wakijaribu kukwepa mashimo ya maji taka ya chooni yaliyotuama baada ya moja ya chemba ya maji hayo katika Mtaa wa Swahili Kariakoo kujaa na kumwaga maji barabarani huku shimo hilo likikosa mfuniko.

No comments: