ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 24, 2013

HIVI NDIVYO KIJIWE CHA UGHAIBUNI KILIVYOANZA

2 comments:

Anonymous said...

marekani inafundisha roho mbaya we acha tu. mtanzania mwenzio anashindwa haka kukuelewesha hiyo orange line na red line itakuwa ni maandishi au rangi ya train!

Watanzania tukiwapokea wenzetu kutoka bongo tujaribu kuwapa ile 101 ya vitu muhimu. kama ni kipande cha kipande cha kanjanja unaweleza awe makini. we need to have mentors in our community, mie najitolea wa kwanza

Anonymous said...

Hahahahahahah! Hii kali kweli yaani hata ndugu wana roho mbaya kupita kiasi. Hakuna undugu ule wa nyumbani wa kujuliana hali na kutakiana mema. Eti kila mtu yupo busy na masiha ya Marekani kweli???? Mijitu ni miroho yao mibaya tu ya kuzaliwa. Mfano nilimuomba mtu anipe reference ya kazi eti akakataa kabisa sababu hataki kuniambia..kumbe ni roho mbaya tu. Yaani wabongo kutwa kujishaua na kutambiana wakati wote tunajua kuwa tunahangaika tu hapa. Basi tupendane jamani,,,