ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 18, 2013

IDD AZAN, HALIMA MDEE WAJIANDAA KUWAKABILI WOLPER NA JB

Halima Mdee na Idd Azan wakijifua mkoani Dodoma.
Mazoezi yakiwa yamepamba moto.
Video
Mdee akijiimarisha kwa ajili ya kumkabili Wolper.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na Idd Azan ambaye ni Mbunge wa Kinondoni, wameanza kujichua kwa ajili ya mapambano yao ya ndondi katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Halima Mdee atazipiga na Jacqueline Wolper wakati Idd Azan akionyeshana ubabe na Jacob Steven 'JB'
(Picha na Luqman Maloto /GPL, DODOMA)

1 comment:

Seif AbajalO Msabaha said...

habari za saa hii dugu na njamaa sangu. sasa nilikuwa natezama hii clip ya huyu mdada harima jisni anavyo kuwa mafunzoni. hivi anafundishwa sifa ou boxing? i did not see any thing attracting from this boxer but i like the height na weight. kaka wewe ni mwalimu gani wa boxing haujui offence wala defense wala. trust me i am training and boxing off and on here in Washington DC my advise to you is if you want your boxer to compete in international level you have to go back on board and start all over. when she put groves on her hands she will not presenting her self or you, she is representing Tanzania, African, young black Woman, kwa mtoto akiwa na life duni mzazi hulaumiwa, mwanafunzi akifeli ni kosa la mwalimu, so for this young lady who want and love to be a boxer it start from you she fail to be on that level is you to blame......i love box. well come MIDTOWN BOXING UP TOWN 14TH ST N.W WASHINGTON D.C