ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 19, 2013

JUMA FUNDI VS NASIBU RAMADHANI KUPAMBANA SIKU YA IDI PILI

Bondia Juma Fundi kushoto akitunishiana misuri na Nasibu Ramadhani wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Idi pili wengine kushoto ni mratibu Duni Lianjara Promota wa Mpambano huo Side Mkigoma na kocha wa Nasibu Christpher Mzazi.
PROMOTA WA MPAMBANO WA MASUMBWI SIDE MKIGOMA KATIKATI AKIWAINUA MIKONO JUU MABONDIA JUMA FUNDI KUSHOTO NA NASSIBU RAMADHANI
 
Mabondia wakisaini mkataba.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: