ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 19, 2013

VIDEO YA KARIBU NA TUKIO MLIPUKO WA BOMU MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA


Vijimambo inaomba radhi kwa video hii

4 comments:

Anonymous said...

Hii imepangwa na chadema ukiangalia unaona ni mchezo aw chadema waonekane wanaonewa Hamna kitu hapa

Anonymous said...

siyo chadema ila ccm ndo wanaofanya mambo haya wabaya sana watu hawa wa ccm

Anonymous said...

Kwakweli mie kwa upande wangu sijali nani kapanga au ni chama gani kinacho takiwa ni serikali kuwa macho sana, serikali inatakiwa ikaze buti kukemea na kuwa tia ndani/jela magaidi woote maana huu ni ugaidi wa ndani ya nchi kabisa. Hali hii si nzuri hakika. Inatia aibu na inaogopesha sana hakika. Tanzania ilikuwaga ya amani sasa imekuwa ya kumwaga damu. It is a big shame.

Anonymous said...

It is sad,especially when the ones who are hurts are innocents.i saw a little girl she was also hurts and in shock.i hope she gets well.