ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 20, 2013

KONYAGI YAGAWA VIFAA VYA KISASA VYA KUHIFADHIA TAKA

Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza Akionesha kifaa cha kuifazia takataka ambapo jumla ya 

Vifaa vya  kisasa 130 vya Kuhifadhia Taka vilitolewa na kampuni hiyo

Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika leo. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.

Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Mama Kamche's iliyoko Mwenge, Patrick Mrema, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam,
Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Etina iliyoko Mwenge,Egbert Mtunza, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa

Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza Akizungumza na wana habari wakati wa kugawa vifaa vya kuhifadhia takataka

1 comment:

Anonymous said...

inasikitisha lakini ndo maisha kila kukicha bongo kunatangazwa kinywaji, mara sijui hivi na vile yani taifa letu linakwenda wapi tutakuwa watu wa mapombe kila kukichaaa au ndo kuna mapesa huko kwenye deal la mapombe jamani jamani ndo maana watoto wana feli mashuleni na ngono kila pembe ya nchi