ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 20, 2013

MSIBA DMV NA TANZANIA

MSIBA-MSIBA-MSIBA
DMV
                                                            
Dada yetu na rafiki yetu Jacgueline Francis Mberesero,  (Mama Emma Ukoh) amefiwa na baba yake mzazi, Mzee Francis Mberesero  huko Moshi, Tanzania. 

Msiba uko nyumbani kwake: 

6525 LANDOVER ROAD, APT 303
CHEVERLY, MD 20785

Kama ilivyo kawaida yetu, ukipata muda mpigie simu au mtembelee nyumbani kwake ili kumpa pole kwenye kipindi hiki cha majonzi.

Kwa taarifa zaidi piga simu namba:

301-755-3400, 240,176-6335 na 240-217-5340

No comments: