ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 25, 2013

"LAZIMA NIFE KABLA YA KUFIKISHA MIAKA 40"...AUNT EZEKIEL

WAKATI vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka na kudai kuwa hawezi kuishi miaka mingi na atakufa mapema kuliko watu wanavyodhani. 

Aunt Ezekiel alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori na mwandishi wetu jijini Dar ambapo alibainisha kuwa akijitazama mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa kuwa hawezi kufikisha hata miaka 40 kabla hajafa.

“Daah! Sijielewi kabisa yaani kwa jinsi ambavyo najiona, nikifikisha miaka 40 ni bahati aisee, dunia sasa imebadilika sana,” alisema Aunt.

5 comments:

Anonymous said...

Sasa cha aajabu ni kipi? Kama ni kufa si ufe tu kila mwili nilazima uonje mauti, unatutangazi ya kazi gani au unatafuta kiki kwa nguvu? Tena kwakuwa unajua utakufa kabla ya 40yrs ujiaandae kabisaaaa usituchangishe jeneza wala gharama za mazishi, siumeamua kutabiri kifo chako mwenyewe baasi tusisikie unatuchangisha chochote. Goodluck to you.

Anonymous said...

Kwani we ni Mungu. Hakuna mtu anayejua siku ya kufa bali Mungu Pele Yake

Anonymous said...

Mimi nadhani angefunguka zaidi kwa kutaja aina ya vijidudu alivyo navyo mwilini mwake kwa usalama wa raia wema wasiokuwa na hatia.

Anonymous said...

This beautiful young girl is scared with death cause most of her young close friend are dying in a very young age!!she's terrified and need help with all lot of encouragement!she real doesn't mean she will die before forty pls understand the situation around her! Wanazikana back to back she's terrified!

Anonymous said...

Poa tuu,mbona itakuwa ni vizuri sana kufa hata sasa hivi utuondolee ugiza.Movie zenyewe hujui kuigiza yaani ni matatizo mengi.Nenda ukapambane na masisimuzi mle ndani ya shimo,yaani I cant wait,kwani unasubiri nini sasa?