ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 25, 2013

ROOFTOP BBQ PARTY YA BAHIA ILIBAMBAJE NDANI YA BROOKLYN NY

 Miss Mahundi siku ya ROOFTOP BBQ PARTY yake ndani ya Brooklyn NY akipata ukodak wa viji.
 Hapa Miss Mahundi akivuliwa viatu party ianze maana alikuwa amevaa viatu virefu vilikuwa vinamharibia mapozi.
 Mambo si hayo sasa full kuyarudi mangoma ni siku yake jamani acha ajimwage mtu kati. 
 Watu wakijipatia kitoweo cha nyama choma na vinywaji baridi 
 Kila mtu alikuwa na pozi lake siku hiyo mambo yalikuwa bam bam.
 Wachoma nyama nao walikuwa full gwanda kuhakikisha nyama inakuwa sawa kwa walaji. 
 Hamza akipata ukodak na marafiki zake na huku akiwa ameshika sahani ya kitoweo.
 Cha dogi kutoka MA akipata ukodak akiwa na pozi sambamba na dada yake.
 Dullar kama kawaida akiwakilisha kiroho safi

 Brother Akida akiwa na mwenyeji wake kutoka Maryland wakishow love kwenye bbq hiyo ya Mahundi family. Kwa picha zaidi bofya read more!!!!

























No comments: