Hii ni cake ya birthday Fundi Kombo ikionyesha picha yake na mama mwenye nyumba wake katika cake. Watu walikula na kucheza hadi cheee.
Fundi Kombo akiserebuka na mama mwenye nyumba wake siku hiyo ya birthday.
Watu wakijiachia na muziki ulio kuwa unarindimishwa na Dj Bilal




No comments:
Post a Comment