| Mke wa Marehemu Jerome, Clara Mpefo |
| Padri Kiiguta kutoka Jimbo la Chicago akiendesha Misa Takatifu |
| Bw.Majeshi, mdogo wa Marehemu Jerome |
| Dada Stellah |
| Bw,Emmanuel Katili rafiki wa karibu wa Marehemu |
| Familia ikiuaga mwili wa Marehemu Jerome |
| Kaka Domino, aliongoza utaratibu mzima wa misa |
| Familia wakati wa Misa |
| Mwalimu Maswanya akitoa heshima |
| Bw.Eladius akisoma somo ka kwanza |
| Bw.Fue O. Fue |
| Dada Mage akisoma maombi |
5 comments:
Jerome Yaani kukuona Kwenye hili Sanduku Siamini macho yangu Jamani .Ila 159 percent upo mbinguni .Ulikuwa na roho ya ajabu Upendo kwa kila Mtu .Ila umetuachia Baraka watoto wako.Pengo lako halitozibwa kamwe
Rest In Peace Jerome. Ila kwa mtazamo wangu jamani, watoto wasiwe wanaonyeshwa maiti, huu umarekani wenu huu sijaona kama ni vizuri. Halafu unapoenda kwenye msiba jamani inapendeza kuvaa black/nyeusi au dark colours unless mnavaa sare that is a different story. maana naona kunawalio vaa Jeans, waliovaa pink, white na kadhalika. Asanteni sana kwa kujitokeza kwa wingi mbarikiwe sana. Amina.
Watu wengine wametokea makazini hakuna mambo ya jarani kafiwa uondoke mapema kazini si bongo hii.
Kuhusu kuonyesha maiti kwani kuna ubaya gani? Nilipoteza baba yangu nikiwa na umri wa miaka 4, niligombana na watu mpaka wakanionyesha sio umarekani ila ni baba yao na kama wanataka kuona waonyeshwe ili waelewe nini kinaendelea. Ule wakati wa kudanganya watu sio sasa kwani watoto wa leo wanauliza na kutaka majibu yenye maana.
Jerome upumzike kwa amani. Mungu amekupenda zaidi. Clara, Patric na Catherine. Mwenyezi mungu aendee kuwapa nguvu. Jerome mungu amekuita angali bado kijana na baba mwema kwa wtt wako endelee kuwalinda huko ulipo sasa. Mapenzi yake mungu hayana mpinzani. Upumzike kwa Amani Jerome.
Jerome umetuachia kilio tuu .upendo wako wa ajabu utaishi milele.nitaku miss mushijaji hata usingizi sipati
Post a Comment