Katibu wa jumuiya ya watanzania washio New York bwana Shaban Mseba akiwa busy kuhakikisha nyama zinakuwa sawa jikoni hapo. Licha ya kuwa na BBQ pia viongozi wa jumuiya walizungumzia kuwepo kwa Timu ya wanaume ya mpira wa miguu, Timu hiyo itazinduliwa hivi karibuni kwa kukabidhiwa vifaa vya michezo kutoka kwa wafadhili.
Mwenyekiti bwana Hajji Khamis alikuwepo pia kuhakikisha kila kitu kina enda sawa katika BBQ hiyo hiliyo fanyika Mill Pond park New York City.
Watanzania waliojitokesha kwenye BBQ hiyo hapa wakipata ukodak wa Vijimambo
Dada Farida na wazazi wake kutoka Connecticut waliwepo pia kwenye nyama choma hiyo.
Hawa ndiyo viongozi wa jumuiya ya watanzania New York wakipata ukodak, Kushoto ni mwenyekiti bwana Hajji Khamis katikati ni Maria Abu makamu Mwenyekiti jumuiya, na bwana Shaban Mseba ni katibu wa jumuiya. Na ndiyo walifanikisha kufanyika kwa BBQ hiyo ya kuikaribisha summer.
| Watoto wakipata ukodak wa vijimambo kwa kuachia smile zao kwani walijua Vijimambo inawajari uwepo wao. Kwa picha zaidi bofya read more. |





1 comment:
wanaubinafsi wao kwa wao tu wenyewe mbona na sisi hatutangaziyiiii zikiwa hizi sherehe na wanaopenda kujipendekeza ndo zao
Post a Comment