ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 20, 2013

SHILOLE, MASANJA KUFANYA SHOW MOJA TU JULY 6, 2013


Wadau wamekua wakiuliza kama Shilole na Masanja watafanya show zingine kwenye majimbo mengine Jibu ni NOOOO Show ni moja tu siku ya July 6, 2013 ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na Tamasha la utamaduni wa kiswahili. Baada ya hapo watarejea nyumbani Tanzania kuendelea na majumu yao ya kila siku.

2 comments:

Anonymous said...

wanajifanya expensive kama diamond shauri zetu wachiyeni hao hawana jipya

Anonymous said...

Waswahili mnajua kulauuumu bila kujua! yote kwa kuwa maneno hamlipii kodi. nimesoma hiyo tangazo la sherehe Masanja na Shilole wamealikwa hawajaja kufanya biashara sasa iweje useme ni 'wanajifanya expensive?' kwani hiyo ya tarehe 6July umesikia kuna kulipiaaaaaa? Acheni hizooooo