ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 18, 2013

SIKILIZA MAHOJIANO YA MTANZANIA ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA EGYPT.


Inaanza na kiarabu baadae anahojiwa kwa kiingereza adai yeye ni Muoman na mama yake ni Mtanzania SIKILIZA MAHOJIANO

1 comment:

Anonymous said...

Duu! msichana mdogo wa miaka 22 unakubali kuhatarisha maisha yako kwa kutaka utajiri wa haraka haraka bila kufanya kazi halali?? Inasikitisha sana ila nchi ya Egypt si kama Tanzania bibie unashikwa leo kesho uko njee, utasoteshwa jela mpaka utie aakili mie nilikaa Egypt miaka mine wale wenzetu hawataki utani ikija kwenye sharia. Halafu Kuna kitu hakija nyooka katika majibu yako kabisaa. Wewe kilichobaki wataje wooote wanao husika ili usiumie peke yako, waliokufanya "punda" wanao nunua na kusambaza. Inatisha kuwa TANZANIA sasa hivi ina watu wengi sana wanaojihusisha na biashara hiii haramu ya madawa ya kulevya. EEEh Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Amina.