ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 18, 2013

Taarifa za awali zinaonyesha bomu lililorushwa Arusha limetengenezwa China.


Waziri mkuu mh mizengo pinda amesema taarifa za awali za watalaamu wa milipuko zinaonyesha kuwa bomu lililorushwa kwenye mkutano wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema jijini Arusha limetengenezwa China na ni miongoni mwa mabomu yanayotumiwa na vikosi vya jeshi kujihami na maadui .

No comments: