ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 21, 2013

TAZAMA NYIMBO MPYA P-SQUAR PERSONALITY

3 comments:

Anonymous said...

Sijui bongo flavour artists watafikia kiwango hicho lini na kuacha kutembeatembea kwenye stage?

Anonymous said...

Mdundo mzuri sana, Ila maneno yame goma haya eleweki kabisa, halafu ameiga mno kukawa hakuna touch ya Kitanzania/Kiafrica maana hapo naona touch ya Neo na Michael Jackson na Chris Brown......Ingenoga zaidi kama angeiweka kiafrica Africa hiviiiii.

Anonymous said...

Jamaa wakali sana, hope bongo tutaiga , artist wa bongo too much drama kila kukikucha