ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 25, 2013

TBS yapiga marufuku uingizaji wa nguo za ndani za mitumba.

Shirika la viwango nchini --TBS limepiga marufuku uingizaji na uuzwaji wa bidhaa za nguo za ndani za mitumba na kusema litachukua hatua kali kwa wauzaji na waingizaji wa bidhaa hizo huku likiwataka wananchi kuendelea kutumia bidhaa zenye ubora

No comments: