Bishop Melchizedek Maturlu akiongoza maombi kabla ya kukata keki kama ishara ya ufunguzi rasmi wa kanisa la Bethel Kingdom Ministries uliofanyika hapa Dmv siku ya Jumapili June 16, 2013.
Watanzania wa DMV na marafiki zao wakiendelea kupata chakula siku ya ufunguzi wa kanisa la Bethel Kingdom Ministries uliofanyika hapa Dmv siku ya Jumapili June 16, 2013.
Watanzania na marafiki zao waliohudhuria ufunguzi wa kanisa la Bethel Kingdom Ministries uliofanyika hapa Dmv siku ya Jumapili June 16, 2013 wakipata chakula baada ya Ibada.
Bishop Melchizedek Maturlu akikata keki kwenye ufunguzi wa kanisa la Bethel Kingdom Ministries uliofanyika hapa Dmv siku ya Jumapili June 16, 2013.
1 comment:
haya bwana
Post a Comment