ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 17, 2013

VIDEO YA MLIPUKO WA BOMU MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA

1 comment:

Anonymous said...

Jamani nimelia sana baada ya kuona hii video-Hakika inatia uchungu sana, huyo aliyekuwa naitisha magari na kulia kwa uchungu ametia huruma sana/ napenda kumpongeza kwa kuitisha msaada hata baada ya tena la kigaidi kama hilo kutokea. Asante sana kaka LUKA.