ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 12, 2013

BRIGEDIA, MINDI WAWAKARIBISHA MASANJA NA SHILOLE CHAKULA CHA JIONI.

Afisa Ubalozi Mindi Kasiga (kulia) akimlaki msanii Shilole mara alipofika nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga Silver Spring, Maryland kwa nyama choma na chakula cha jioni maalum kwa ajili ya kuwaaga wasanii hao Alhamisi July 11, 2013.
Afisa Ubalozi Mindi Kasiga akisalimiana na mwenyekiti wa kamati ya Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa Kiswahili Marekani, Baraka Daudi huku msanii Masanja akiangalia .
Msanii Shilole akitia saini kitabu cha wageni.
Msanii Masanja akitia saini kitabu cha wageni.
Wasanii Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na wenyeji wao Brigedia Jenerali Maganga na mkewe Love Maganga.
Wasanii Shillole na Masanja wakiendelea na menyu.
Mwenyekiti wa kamati Baraka Daudi (kati) katika picha ya pamoja na katibu wa kamati Asha Nyang'anyi (kushoto) na mmoja ya wajumbe wa kamati ya Vijimambo na tamasha la kiswahili Marekani Dj Luke.
Afisa habari Mindi Kasiga akiongea machache.
Brigedia Jenerali Maganga na mkewe Love Maganga wakiongea machache.
Juu na chini ni Masanja akipokea zawadi kutoka kwa Mindi Kasiga na Bgrigedia Jenerali Maganga na mkewe.
Shilole akipokea zawadi kutoka kwa Mindi Kasiga na Bgrigedia Jenerali Maganga na mkewe.
Shilole na Masanja wakitoa shukurani zao.
kwa picha zaidi bofya read more

11 comments:

Anonymous said...

Nilidhani huyu mheshimiwa alisharudi bongo!

Anonymous said...

hawa wasanii nao wajifunze kuvaa mavazi kutokana na event wanayo hudhutua jamani,aibuuuuuuuuuuuuu

Anonymous said...

Sasa huyo Masanja ni Mkenya? Kwanini awakilishe kwa kuvaa hiyo tshirt? Kwani hana nguo nyingine?

Anonymous said...

Is common sense, sasa Kama wamealikwa Si kivyao hadi mtoe bloguni? Maanake hii vijimambo sasa imekua Kama ya ubalozini na watu wa ubalozini Tafadhali usituwekee mambo ya watu wamealikana sasa ndio nini?su unataka vijimambo iwe blogu ya ubalozini nini?weka pic za community get together but sio watu ambao wanajikusanya wao wao yaani Mimi Mimi , sijalazimishwa kusoma vijimambo Bali ni maoni yangu tu.

Anonymous said...

Mdau punguza hasiraa tafadhali sana. Vijimambo inatuletea habari za kila kona sio community tu na za dunia na ulimwengu wooote wakiweza. vijimambo inatakiwa kutuleta stories za kila pande ubalozini, police, jela, mahakama, movie, dance, vichekesho na kila kituuuu kwa ujumla. DJ Luka asante sana kwa kaazi nzuri unayoifanya.

Anonymous said...

Wacha kuona wivu kwa sababu hukualikwa kwenye shughuli. Hawa wasani wamealikwa ubalozini kwa heshima zao. Wako down to earth wala sio show off. Nguo wanazo zivaa zinakuhusu nini? Inamaana Hawana ubaguzi,mtaanzania kuvaa t-shirt ya Kenya ni kuonyesha anajivunia Kua East African ...

Anonymous said...

I wanted to write the same thing .Alishaagwa what happened

Anonymous said...

Chadema utawajus tuu wivu fujo Kelele .Hii ni blog yake ataweka anachotaka .Wivu tuuu

Anonymous said...

wabongo acheni kuwa na roho mbaya, General maganga amekaa vizuri na kila mtu hapa DC, na sio kwa sababu mlimuaga basi ndo ashindwe kuja kuvisit mara kwa mara, familia yake yote ipo hapa we kinachokubother ni nini, kufikia afikii kwako kula ali kwako so kuwa mpole and mind your own business...

Anonymous said...

Hiyo nayo ni sherehe ya kualikwa. Watu hata hawajui nguo za kuvaa kuwakilisha nchi yao. Use your common sense mdau.

Anonymous said...

Jamani mwacheni Brigedia ataondoka kwa wakati muafaka, yeye ni Jenerali wa Serikali ya Tanzania sio watasema sasa ondoka ndivyo itakuwa haondoki kwa kuwa ameshaaagwa la hasha. Waliwaalika hawa Wasanii kwa mapenzi yao wala Ubalozi haukuhusika.
Luka hawa wenye wivu wa kutoalikwa achana nao endeleza gurudumu wasikutie kiwingu.